DUDU LA BRAZIL HILOOO


Nyota wa Brazil, Eduardo Pereira Dudu akifanya mazoezi ya gym mjini  Pereira, Colombia juzi, ambako inafanyika michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana chini ya umri wa miaka 20. Brazil itamenyana na Hispania katika Robo Fainali Jumapili.




Comments