BOBAN HAJAFIKIA KIWANGO CHA KUICHEZEA STARS

KOCHA mkuu wa Taifa Stars Jan Poulsen amesema kiungo mshambuliaji wa Simba Haruna Moshi ‘Boban’ nahana uwezo wa kuichezea Stars.
Poulsen amesema licha ya Boban kuwa na uwezo mzuri uwanjani lakini  hana uwezo wa kucheza kwa dakika 90 kwani katika mechi ya kuwania ngao ya jamii baina ya Simba na Yanga alimudu kucheza kwa dakika 25 tu huku muda uliobaki akiutumia kuzunguka tu.

Comments