BARCA YAUA 5-0, LA LIGA NI MOTO

Wachezaji wa FC Barcelona wakishangilia kumpongeza Lionel Messi wa Argentina kufunga bao katika mechi yao ya ufunguzi ya Ligi Kuu Hispania, La Liga dhidi ya Villarreal kwenye Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona, Hispania jana Jumatatu. Barca ilishinda 5-0.




Comments