ARSENAL YATINGA HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

ARSENAL imetinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuifunga Udinese ya Italia mabao 2-1. cheki picha tofauti za mwechi ya jana usiku.
                                          Robin van Persie akishangilia bao lake na Gervinho
Wenger akiwapungia mkono mashabiki baada ya mechi

Van Persie akifunga bao la kusawazisha

                                           Wojciecj Czszesnyakijiandaa kuokoa penalti Di Natale

Comments