AKINA GAUCHO WAKAMATWA BRAZIL, AWAKA

Nyota wa klabu ya Flamengo ya Brazil, Ronaldinho akilalamika katika mechi ya Ligi Kuu Brazildhidi ya Vasco da Gama mjini Rio de Janeiro, Brazil jana. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0.

Comments