AIRTEL YAMWAGA MIL.15 ROCK CITY MARATHON

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kulia)akishuhudia Ofisa Uhusiano wake Jane Matinde (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya sh.milioni 15/- kwa mwakilishi wa Kampuni ya Capital Plus International (CPI) Mary Masaga(kushoto) kama udhamini wao katika mashindano ya riadha ya Rock City Marathon 2011 yatakayofanyika Jijini Mwanza Septemba 4 mwaka huu.Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Suleiman Nyambui akishuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam.

Comments