ADEBAYOR: YALIYOPITA SI NDWELE

“Yaliyopita yamepita, naangalia mbele, unatakiwa kuwa jasiri ili kuamua kuja Tottenham, nimecheza kwa miaka mitatu na nusu Arsenal ambao ni wapinzani wakubwa wa Spurs. Ninachotaka ni kucheza soka na kufurahia nafsi yangu na leo mimi ni mchezaji wa Tottenham,”. Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo, Emmanuel Adebayor akizungumza baada ya kutua Tottenham Hotspur kwa mkopo akitokea Manchester City. Adebayor mwenye umri wa miaka 27 alikuwa anahofia kujiunga na wapinzani hao wa timu yake ya zamani, Arsenal.





Comments