YANGA YAPATA KIGUGUMIZI UJIO WA KIIZA

WAKATI ikianza maandalizi ya msimu mopya wa ligi, timu binghwa ya soka Tanzania Bara Yanga, imeshindwa kuweka sababu za kutowasili nchini kwa mshambulkijai wakew Mganda Hamisi Kiiza.
hata hivyo, msemaji wa Yanga Louis Senseu amedai kuwa mchezaji huyo anakabiliwa na matatizo ya kifamilia na pindi yatakapokuwa sawa atarejea nchini kujiunga na wenzake katika maandalizi yao

Comments

  1. Halafu wewe mama simba ushabiki wako kwa simba kupita kiasi sasa unakufanya uyumbe,unasema yanga yashindwa kutoa reason za why mchezaji hajawasili hapo hapo wewe mwenyewe unasema tena SENDEU ambae ndio kipaza sauti cha yanga amesema mchezaji hajawasili kwa kuwa ana matatizo ya kifamilia!!!!
    sasa hiyo siyo sababu?mbona mnakuwa washabiki kupita kiasi?

    ReplyDelete
  2. DINA SABABU NI HIZO ALIZOZITOA MSEMAJI WA YANGA UNATAKA SABABU GANI TENA?AU WEWE UNA SABABU ZAKO?HEBU TUMWAGIE BASI,OTHERWISE PIGA KIMYA,HATA USIPOIPOST HII COMMENT UJUMBE UMEFIKA

    ReplyDelete

Post a Comment