YANGA YAIKACHA COASTAL UNION

MABINGWA wa soka Tanzania Baram, Yanga Sc wameahirisha safari yao ya kwenda jijini Tanga ambapo walitarajiwa kukiopiga na Coastal Union ya hukoi siku ya jumapiuli.
Yanga imesema kwenda kwao tanga kutavuruga maandalizi yao ya mechiu ya ngaoi ya hisani itakayopigwa Agosti 17 dhidi ya Simba.

Comments