YANGA KUJIPIMA NA WAGOSI WA KAYA J'2


MABINGWA wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Yanga  Jumapili wanatarajia mechi ya kirafiki na Coastal Union ya Tanga, mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Mechi hiyo in sehemu ya maandalizi ya timu hizo kwa ajili ya ligi hiyo  inayotarajia kuanza Agosti 20 mwaka huu.
Aidha, mechi hiyo itatoa fursa kwa mashabiki wa Yanga kushuhudia kikosi kipya ilichokisajili kwa ajili ya msimu mpya way ligi sambamba na kusherehekea ubingwa way kichuano ya Kagame iliyoupata hivi karibuni.

Comments