SIMBA , YANGA KUIJADILI TFF


UONGOZI wa klabu ya Simba unatarajia kukutana na ule way mahasimu wao Yanga ili kujadili uwezekano wa kubadilishwa kwa
tarehe ya mechi yao ya ngao ya hisani.
Hatua hiyo inafuatia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kusogeza mbele mechi hiyo iliypangwa kupigwa kwenye Uwanja way Taifa kutoka Agosti 13 hadi 17.

Mwenyeiti wa Simba Ismail Rage hatua ya  TFF kupanga mechi hiyo katikati ya wiki kitawanyima fursa wapenzi wengi wa soka kwenda kushuhudia
mechi hiyo.

Comments