SIMBA SC V SIMBA FC KUPEPETANA AGOSTI 8

TIMU ya soka ya Simba itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki na Simba Fc ya Uganda ikiwa ni katika maadhimisho ya tamasha la Simba day klitakalofanyika Agosti 8 kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Mbali na mechi hiyo poia kutakuwa na mechi baina ya Simba B na Azam B ambapo pia tamnasha hilo litahusisha uzinduzi wa mtandao wa klabu, wachezaji wapya, kocha wao mopya pia kutoa zawadi kwa watu mbalimbali walioiletea mafanikio kwa namna moja ama nyingine klabu hiyo.

Comments