SEKONDARI ZA JITEGEMEE, MBANDE NA MSONGOLA ZATINGA NUSU FAINALI YA AIRTEL RISING STARS

Mshambuliaji wa timu ya shule ya sekondari ya Goba, Hamisi Bundala (katikati) akikabiliana 
na mabeki wa timu Msongola, Hamisi Fungura (kushoto) na Arabi Yakub, wakati wa mchezo wa
robo fainali ya ligi ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars, 
uliofanyika katika uwanja wa Karume, Dar es Salaam, jana. 

Mshambuliaji wa timu ya shule ya sekondari ya Goba,Pascal Mapunda akijaribu kumiliki mpira 
katika lango la timu ya soka ya Msongola Boniface Joseph wakati wa mchezo wa robo fainali ya 
ligi ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars, uliofanyika katika uwanja 
wa Karume, Dar es Salaam, juzi. 
Mshambuliaji wa timu ya shule ya sekondari ya Msongola, Hussein Hamza akiwatoka walinzi wa 
Goba wakati wa wa mchezo wa robo fainali ya ligi ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya 
 Airtel Rising Stars, uliofanyika katika uwanja wa Karume, Dar es Salaam, jana. 

Mshambuliaji wa timu ya shule ya sekondari ya Msongola Mohamed Hamisi akiwachambua mabeki wa 
 Goba wakati wa mchezo wa robo fainali ya ligi ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel 
 Rising Stars, uliofanyika katika uwanja wa Karume, Dar es30 Salaam, jana.  

Comments