MRISHO NGASSA AFUZU SEATTLE SOUNDERS

MSHAMBULIAJI wa Azam Mrisho Ngassa amefuzu majaribio katika klabu ya Seattle Sounders ya Marekani.
Hata hivyo, mazungumzo juuu ya kununua mshambuliaji huyo yanaendelea baina ya timu hizo mbili huku Seattle wakisema watamsajili katika msimu wa majira ya joto ambao ni mwezi Februari mwakani.

Comments

  1. Dada hapana, majira ya joto hapa Marekani ni mwezi wa saba. Kulingana na habari za Seattle sounders, Ngasa atasajaliwa msimu wa baridi unaonaza mwishoni mwa Januari.

    ReplyDelete

Post a Comment