MISS HIGHER LEARNING KUPATIKA JULAI 9

 MRATIBU wa miss Higher Learning Bashiri Kambarage akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na shindano hilo litakalofanyika katika hoteli ya African Dream iliyopo mkoani Dodoma siku ya Julai 9.
Aidha, msanii wa bongo fleva, Ali Kiba anatarajia kupamba onyesho hilo, kulia ni mwalimu wa warembo hao, Beatrice Joseph

BAADHI YA WASHIRIKI WA SHINDANO HILO KATIKA PICHA YA PAMOJA KWENYE HOTELI YA CRYSTAL PALACE ILIYOPO ILALA BUNGONI.WAREMBO TOKA VYUO VYA IFM, CBE, USTAWI WA JAMII, MZUMBE, MSJ NA UDOM WATAWANIA TAJI.

Comments