MASHINDANO YA PIKIPIKI YALIVYOFANA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS

 Mwendesha Pikipiki wa Kambi ya Kinondoni, Ludan Volvo, akionyesha mbwembwe za kutembea na tairi moja wakati wachezaji wa mchezo huo walipokuwa katika mazoezi ya kawaida ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Waendesha Pikipiki, Adil Othman (mbele) akichuana na Ludan Volvo, wakati wa mazoezi yao ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Adil ni mtaalam wa kutumia Pikipiki yenye matairi manne aina ya Quad Bike na Volvo ni mtaalam katika pikipiki ya matairi mawili, hapa wakionyeshana ujuzi.
 Waendesha Pikipiki wakianza mwendo kwa pamoja wakati wakishindana katika mazoezi yao ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Waendesha Pikipiki wakianza mwendo kwa pamoja wakati wakishindana katika mazoezi yao ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita
 Mwendesha Pikipiki, Adbul, akiwa hewani baada ya kuruka Tuta, wakati wa mazoezi ya waendesha Pikipiki yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam
 Mwendesha Pikipiki, Ludan Volvo, akiwa hewani baada ya kuruka Tuta, wakati wa mazoezi ya waendesha Pikipiki yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam

 Waendesha Pikipiki, Dotto Juma (mbele) akichuana na Ludan Volvo, wakati wa mazoezi yao ya kujiweka fiti yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es SalaamMwendesha Pikipiki, Adil Othuman, akionyesha uwezo wa kuitumia pikipiki ya matairi manee aina ya Quad Bike, wakati wa mazoezi ya waendesha pikipiki hao yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam. Picha  zote na www.suafianimafoto.blogspot.com

Comments