JAKAYA KIKWETE NA DKT BILAL WAHUDHURIA NDOA YA YUSUPH KIKWETE BAGAMOYO

 Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Bilala, wakiwa katika meza kuu kwenye Sherehe hiyo iliyofanyika Bagamoyo


Eeeeh! Swahiba upoooooo! ha ha ha ha...., Rais Jakaya akisalimiana na Mudhihir Mudhihir, walipokutana katika sherehe hiyo.


 Bwana harusi, Yusuph Kikwete akiongozana na wapambe wake wakati wakiingia katika uwanja huo kwa ajili ya kufunga ndoa.

 Miraji Kikwete, naye hakuwa mbali katika kunasa matukio, hapa alikuwa akimpiga picha baba yake mdogo
 Bwana Harusi, Yusuph, akifungishwa ndoa na Sheikh

 Bwana Harusi Yusuph na waumini wa dini ya Kiislamu wakiomba dua baada ya tendo la kufungishwa ndoa
 Sheikh, akitoa mawaidha baada ya bwana harusi kufungishwa ndoa,

 Bwana Harusi, Yusuph Kikwete akiwa na mkewe Mariam Ombaka, baada ya kufungishwa ndoa.


 Bwana harusi akipiga picha ya kumbukumbu ya pamoja na wake za viongozi.

 Rais jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete na Bwana na Bi Harusi


Rais jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt Mohammed Gharib Bilal, wakiongozana katika Uwanja vya Ikulu Ndogo Bagamoyo wakati walipofika kuhudhuria sherehe ya ndoa ya mdogo wake na rais Kikwete, Yusuph Kikwete, iliyofungwa jana mchana katika uwanja huo na kuhudhuriwa na mbalimbali pamoja na wake za viongozi.Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR

Comments