HAPPY BIRTHDAY MY BBY BOY PRINCE AKBAR

Hongera mwanangu PRINCE AKBAR kwa kutimiza miaka miwili hii leo.Nakutakia kila la kheri katika makuzi yako na nakuombea kwa mwewnyezi mungu akuepusha na husda mbaya na mitihani ya dunia katika maisha yako.
Nakutakia kila la heri na nakupenda sana My ONLY SON.
HAPPY BIRTHDAY  MY KING

Comments