BANKA:SIWEZI KUICHEZEA SIMBA ASILANI

KIUNGO wa Simba aliyeuzwa kwa mkopo katika klabu ya Villa Squad, Mohammed Banka amesema hayupo tayari kuichezea tena timu hiyo na kama viopi alipwe stahili zake ili aangalie ustaarabu mwingiune wa maisha yake.
Banka amesema hayupo tayari kuichezea Villa na hata iweje kubaki Simba haitowezekana kwani thamani yake kwa timu hiyo haiopo tena.

Comments