AKUDO IMPACT, MAPACHA 3, HAPATOSHI VATICAN CITY LEO

MKURUGENZI wa Big One Entertainment iliyoandaa onyesho hilo, Aboubakar Mwanamboka kati pamoja na kiongiozi wa Akudo Impact Tarsos Masela kushoto na muimbaji wa Mapacha Watatu Jose Mara wakizungumzia onyesho hilo linalotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Vatican City, Sinza jijini Dar es Salaam.
Pamoja na makundi hayo, pia msanii wa bongo fleva nchini, H-Baba naye atatoa burudani.

Comments