AISHA MADINDA AHAMIA EXTRA BONGO


BENDI ya Extra Bongo kwa mara nyingine tena imeibomoa The African Stars 'Twanga Pepeta' baada ya kumnyakua mnenguaji wake mahiri Aisha Mohamed Madind, ambapo leo mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki  amemtambulisha Madinda kwa waandishi wa Habari.

 Choky  alisema Madinda amejiunga na Extra kwa matakwa yake mwenyewe , na tayari ameshaanza  mazoezi na bendi hiyo wiki mbili zilizopita.

Comments