YANGA KUSHEREHEKEA UBINGWA JUMAPILI

WANAKAMATI wa hafla maalum ya kujipongeza kwa klabu ya soka ya Yanga kutokana na kutwaa ubingwa wa ligi kuu bara msimu wa 2010/2011 utakaofanyika jumapili ya juni 12 katika ukumbi wa Africenter, Ilala.
Hafla hiyo iliyoandaliwa na Wana-Yanga kanda ya Ilala itawahusisha pia viongozi wa Yanga Kanda za  Temeke na Kinondoni, ambapo pia mgeni rasmi atakuwa mbnwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga.

Comments