YANGA KUKWAANA NA GOR MAHIA YA KENYA WIKI IJAYO


MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara,timu ya sioka ya  Yanga inatarajiwa kukwaana na washindi wa pili wa ligi kuu nchin Kenya timu ya Gor Mahia, mechi itakayopigwa jumatano ijayo katika dimba la Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
Mechi hiyo ni maalum kwa kusherejhekea ubingwa wa Yanga kwa mashabiki wa huko sambamba na kukitambulisgha kikosi kipya cha timu hiyo kilichosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu TAnzania Bara na michuano ya kimataifa.

Comments