WASHINDI TUZO ZA KILI WATOA ASANTE MJINI MBEYA

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, ambaye ni kinara wa mashindano ya Tuzo ya Kilimanjaro ya mwanamuzki Bora wa Tanzania 2011, 20 Percent akionesha umahiri wake wakati wanamuziki bora wa tuzo hiyo walipokuwa wakifanya shoo ya kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo
AMBAYO IMEDHAMINIWA NA Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika jjana kwenye Uwanja wa
Sokoine, jijini Mbeya. 
 Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakiwa wamepagawa wakati Msanii God Zila akimwagamisitariwakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika jana kweny wa Sokoine, jijini Mbeya.Msanii GodZila akipanda jukwaani huku akishangiliwa na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya . 


Msanii JCB akiuteka umata wa wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakati wa shoo ya washindi wa

Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika jana kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.

Comments