WAREMBO MISS DAR INTER COLLEGE WAENDELEA KUJINOA





WAREMBO wanaotarajiwa kushiriki shindano la urembo la Miss Dar Inter College mwaka 2011 wanaendelea na mazoezi yao katika ukumbi wa Club Sunsiro,ambapo shindano linatarajiwa kufanyika Juni 17 ukumbini hapo.
Warembo hao wanatoka katika vyuo vya Ustawi wa Jamii, CBE, IFM, na DSJ .

Comments