WADAU, NAOMBENI KURA ZENU KWA WINGI!!!!!!



Habari wadau wangu, nashukuru kwa kunipendekeza katika shindano la Blogu za Kitanzania, hivyo naombeni muendfelee kuwa pamoja nami kwa kunipigia kura  ili kuweza kushinda katika vipengele hivyo hapo juu.BEST SPORT BLOG na BEST INFORMATIVE-SPORT ndiyo ninazowania.
Kwa habari zaidi na jinsi ya kupiga kura tembelea.www.tanzanianblogawards.com.
Natangulioza shukrani zangu.

Comments