TUMEELEWANA?

KOCHA mkuu wa timu ya Taifa 'Taifa Stars' akitoa maelekezo kwa makocha wa timu tofauti ambao wanashiriki kozi ya awali ya ukocha ibnayoendeshwa kwenye uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam.

Comments