TOTOO ZE BINGWA KUZINDUA ALBAMU YAKE JULAI 1, DIAMOND JUBILEE

TOTOO ZE BINGWA AKIZUNGUMZIA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE KATIKA MGAHAWA WA HADEES LEO

TOTOO ZE BINGWA KATI SAMBAMBA NA WAFADHILI WALIOMUWEZESHA KUTAYARISHA ALBAMU HIYO
RAPA wa bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact Totoo Ze Bingwa amekamilisha albamu yake binafsi inayokwenda kwa jina la 'Hii Mambo Haieleweki', uzinzuzi utakaofanyika julai 1 katika ukumbi wa Diamond Jubillee jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini dar es salaam leo, Ze Bingwa alisema albamu hiyo ameitayarisha katia studio tofauti ambapo atasindikizwa na wasanii kadhaa wa ndani na nje ya nchi.

Comments