SIMBA WATIMKIA DRC KUWAVAA DC MOTEMA PEMBE J'2

KIKOSI cha Simba kimeondoka leo kwenda nchini Congo kwa ajili ya mechi yake ya marudiano dhidi ya Dc Motema Pembe ya huko itakayofanuyika jumapili.
Simba itakwaanna na Wacongo hao katika mechi ya kuwania kucheza 16 ya kombe la shirikisho la soka Afrika ambapo ili kusonga mbele inahitaji kushinda ama sareyoyote.
Katika mechi ya kwanza iliyopigwa jumapili iliyopita, Simba ilisjhinda bao 1-0.

Comments