SIMBA SC MWAKA WA TABU

UNAWEZA kusema huu ni mwaka wa tabu kwa klabu ya soka ya Simba ambapo ilianza kwa kuutema ubingwawa Ligi kuu soka Tanzania bara, kisha ikapoteza nafasi yake ya kuwania kucheza ligi ya mabingwaarani Afrika.Ikapata nafasi ya kuania kucheza hatua ya 16 bora ya kombe la shitrikisho dhidi ya Dc Motema Pembe ya DRC kabla ya jana kupoteza nafasi hiyo kwa kufungwa mabao 2-0 kqtika mechi ya marudiano.

Comments