NITAMALIZIA SOKA YANGU ARGENTINA-MESSI

MCHEZAJI bora wa mwaka wa FIFA, mweye miaka 24, Lionel Messi wa Barcelona, amesema hadhani kama atazichezea Real Madrid au Inter Milan ya Italia.

Messi amesisitiza kuwa anadhani ataichezea Barcelona maisha yake yote ya soka ingawa chochote chaweza kutokea katika kandandana; na anafikiri kwamba atamalizia pira wake kwao Argentina.
Messi alisema kuwa amekuwa mwenye furaha kubwa Barcelona, maisha yake ni ya raha ndani na nje ya dimba.

Comments