NAPE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA SPD CHA UJERUMANI

 Nape na Schmidt wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa mgeni huyo, mbele ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. (Na mpigapicha Maalum)
  Schmidt akitazama Ilani ya Uchaguzi ya CCM baada ya kukabidhiwa na Nape wakati wa mazungumzo hayo. Kushoto ni Herms kutoka chama hicho.
 Schmidt akimpongeza Nape baada ya mazungumzo yao kumalizika
Nape akiwaonyesha viongozi hao, picha za Baraza la Mawaziri walioteuliwa  na Rais Jakaya Kikwete baada ya CCM kushinda uchaguzi mkuu uliopita.

Comments