MVUA KUBWA NIGERIA YAHIRISHA MECHI YA U-23, NIGERIA

MVUA kubwa iliyonyesha huko Nigeria imepelekea mechi ya marudiano baina ya timu ya taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 23 dhidi ya Vijana wa Nigeria uliokuwa upigwe jioni ya leo umeahirishwa.
habari kutoka Nigeria zinasema kuwa mechi hiyo huenda ikapigwa kesho ama keshokutwa.

Comments