MISS TANZANIA KUVULIWA TAJI LA KWANZA LEO

MREMBO anayeshilia taji la shindano la Miss Tanzania Geneviev Mpangala leo anatarajiwa kuanza kuvua taji lake la kwanza kupitia kitongoji cha Chang'ombe kupitia shindano litakalofanyika katika viwanja vya TCC Club Chang'ombe.
Katika onyesho hilo, kundi la Mapacha watatu chini ya wakali wake Kharid Chokoraa, Jose Mara na Kalala Junior watatoa burudani.

Comments