MISS SINZA KUPATIKANA IJUMAA, MSHINDI KULAMBA 600,000


WAKATI shindano la kumsaka mrembo wa Miss Sinza mwaka 2011 likitarajiwa kufanyika Ijumaa hii katika ukumbi wa Vatican City ambapo warembo 15 watachuana kuwania taji linaloshikiliwa na Amisuu Maliki.
Mratibu wa shindano hilo, Titina Makutika amesena jana kwamba mshindi wa kwanza atapata zawadi ya shiling 600,000 wa pili anajinyakulia kitita cha shilingi 400,000, ambapo watatu atashinda shilingi 300,000 na wa nne na watano kwa pamoja watapata shilingi 200,000.
 Aidha wa washindi wa sita hadi mshindi wa 15 kila mmoja atapata shilingi 100,000, kundi la Mapacha watatu litatoa buruidani

Comments