MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 3 YA WANAWAKE WAJASILIAMALI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Wanawake Wajasiliamali, yatakayowashirikisha wanawake wafanyabiashara kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yameandaliwa na Mfuko wa Fulsa kwa Wote  (EOTF) na kudhaminiwa na Benki ya NBC.  Katikati ni Mwenyekiti wa Mfuko huo. Mama Anna Mkapa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments