MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jumuiya hiyo baada ya kuwahutubia.
 Baadhi ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake, Haji Hamis, akizungumza na kutoa utambulisho wa viongozi na wanachama wa Jumuiya hiyo, ambao hadi sasa wamefiki 110.
 Baadhi ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa jumuiya.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimia na baadhi ya watanzania hao ikiwa ni sehemu  ya kuwaaga baada ya hotuba yake.
 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia Bilal, akipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya kinamama wanachama wa Jumuiya hiyo.
 


Sufianimafoto pia alikuwa ni miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo, hapa akipozi na mchezaji wa zamani wa timu ya Balimi Fc ya Kagera, Henri (wa pili kushoto) na dada zake.
 

Comments