KUMEKUCHA TAMASHA LA MAKONGO DAY KESHO, WAJUE BAADHI YA NYOTA WALIOPIKWA HAPO

 DOGO JANJA, MSANII WA KUNDI LA TIP TOP CONNECTION ANASOMA KIDATO CHA PILI
 JOSE MARA, TOKA KUNDI LA MAPACHA WATATU

                                                                     SALAMA JABIR
 JERRY TEGETE- MSHAMBULIAJI WA YANGA
 KALALA JUNIOR-MAPACHA WATATU
 HADIJA SHAIBU 'DIDA' MTANGAZAJI TIMES FM REDIO
 BHOKE- MTANGAZAJI WA EATV, ALITUWAKILISHA BBA MWAKA HUU
KASEJA, MGOSI, BANKA-SIMBA SC
 MISHI BOMBA -REDIO MAGIC FM
 MCHEKESHAJI MAARUFU NCHINI, BAMBO
 HARUNA MOSHI 'BOBAN'- SIMBA SC
HASHIM THABEET
BONIFACE PAWASA-MRATIBU WA TUKIO
 NICO NYAGAWA, NAHODHA WA SIMBA
 HENRY JOSEPH,ANKIPIGA NCHINI SWEDEN
ALI MAYAI, MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI WA YANGA
TAMASHA hilo linatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Leaders Kinondoni, Dar es SAlaam, ambapo kutakuwa na michezo mbalimbali na hasa ule wa soka utakaoikutanisha mabingwa wa TAnzania Bara, Yanga dhidi ya Nyota waliowahi kusoma Makongo kwa upande wa soka ambao ni pamoja na YAhaya Akilimali, Sosthenes Manyasi, Ngawina Ngawina, Fred Mbuna, Muhaji Kampala, Aron NYanda na wengineo huku katika netiboli kutakuwa na mecvhi baina ya Bongo Moviez dhidi ya wachezaji wa mchezo huo waliowahi kusoma Makongo.
Aidha wasanii waliotoka Makongo kama Kalala Junior, Jose Mara, Mc Babu Ayoub wataunganana na Tip Top Connection, Temba na Chege katika kutoa burudani huku kiingilio kikipangwa kuwa shilingi 2000 kwa asiye mwanafunzi wa Makongo.

Comments