KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA, CLEOPA MSUYA LEO

KATIBU Mkuu wa CCM Wilson Mukama akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, Waziri Mkuu huyo mstaafu alipomtembelea Katibu Mkuu, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam,leo
leo
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa bin Shaaban Simba akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Kinondoni mjini Dar es Salaam, jana (LEO). Mukama alikwenda Ofisini kwa Mufti kwa ajili ya kumsalimia na kuwa na mazungumzo naye ya faragha. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh  Seleman Lolila (Picha zote na Nkoromo Daily Blog).

Comments