KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA MUADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO

 Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, jana mjini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine, walikuwa na mazungumzo ya faragha. (Picha na Bashir Nkoromo).
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, mjini Dar es Salaam, jana.

Comments