KAA TAYARI KWA VICHEKESHO VYA INSPECTA SANTANA


AYOUB SANTANA, MTAYARISHAJI

MASHABIKI wa vichekesho hapa nchini hivi karibuni watapa raha hiyo kupitia filamu mpya ya mchekeshaji anayekuja kwa kasi Ayoub Santana itakayokwenda kwa jina la Inspekta Santana.
Ndani ya filamu hiyo pia kutakuwepo na wakali wengine wakiwemio Bambo, Mboto, Sebu, Defender, Kidi, Santana mwenyewe na wengineo.
Kwa wasiomfahamu Santana, amewahi kushirikishwa katika filamu kadhaa zikiwemo Money Desire, Its Too Late, Fake Pregnant, Kisisina, Anty Suzzy, No Way Out, The Romantic, Where is Love, More than Crazy, Ladies Angel pamoja na zile za vichekesho ikiwemo Penzi la Teja na Mahoka.

Comments