JOSE MARA AJIONDOA RASMI FM ACADEMIA

ALIYEKUWA MWANAMUZIKI wa bendi ya FM Academia, Jose Mara amejiondoa rasmi katika bendi hiyo, imefahamika.
Jose Mara amesema amejitoa FM ili kuweza kuitumikia vema bendi yake ya Mapacha watatu akiwa sambamba na wenzake kina Kharid Chokoraa na Kalala Junior.Download: www.ieType.com/f.php?FQeTfK

Comments