HONGERA SHADRACK NSAJIGWA 'FUSO' KWA KUPATA JIKO

Nahodha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na timu ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Yanga, Shadrack Nsajigwa, akipozi na mkewe Janny Mwamasangula baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Morovian Mburahati na baadaye kufuatiwa na sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Makuti Mgulani jijini Dar es salaam.

Kila la heri katika maisha yenu ya ndoa.

Comments