HERI YA KUZALIWA MTOTO QUEEN MWAIJANDE

 Queen Kissa Mwaijande(3) pichani katika hafla fupi ya mtoto huyo kutimiza miaka mitatu iliyofanyika nyumbani kwao Sinza C, Dar es Salaam.Queen akiwa mkubwa anasema anataka awe Askari Mpelelezi ‘chatu,nusanusa’ wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS).

Happiness Katabazi akifurahia jambo na mwanae Queen Juni 8 mwaka huu, siku ambayo mtoto huyo alikuwa akitimiza miaka mitatu ambapo hafla ya kumpongeza ilifanyika nyumbani kwao Sinza Mapambano.

Comments