EPL 2011/2012


LIGI Kuu ya England kwa msimu wa 2011/12
imepangwa kuanza kutimua vumbi Agosti 13.
Mechi za ufunguzi wa michuano hiyo yenye wapenzi namashabiki kila kona ya dunia kutokana na mvuto wake unaotokana na kugubikwa na kila aina yavipaji vikiwemo vya nyota kutoka Bara la Afrika

JUMAMOSI, AGOSTI 13
Blackburn v Wolver
Fulham v Aston Villa
Liver v Sunderland
Man City v Swansea
Newcastle v Arsenal
QPR v Bolton
Stoke v Chelsea
Tottenham v Everton
West Brom v Man Utd
Wigan v Norwich.

Comments