CHRISTINA WILLIAM NDIYE MISS IRINGA 2011

Mshindi  wa taji la Miss Iringa 2011 -2012 Christina Wiliam akiwa na mshindi  wa pili hadi  wa tano katika onyesho  hilo  lililofanyika juzi usiku katika ukumbi  wa Highland mjini Iringa(picha na Francis Godwin).

Comments