CHACHANDU DAILY SASA NI NKOROMO DAILY BLOG

BASHIR NKOROMO, MWENDESHAJI WA NKOROMO DAILY BLOG
Mdau, blogu ya jamii iliyokuwa ya Chachandu Daily sasa itajulikana kwa jina la 'Nkoromo Daily Blog' .
Mabadiliko haya ni maboresho tu kutokana na maoni ya wadau wenzako wengi. Hata hivyo maudhui na uhabarishaji wa kukupa habari muhimu za kijamii, kisiasa, Biashara, Burudani na michezo na mazaga-zaga yote lakini yasiyochafua hali ya hewa yatabaki yaleyale.
Kuperuzi bofya: www.bashir-nkoromo.blogspot.com .

Comments