BLOGU ZILIZOPENYA KATIKA SHINDANO ZATAJWA, MAMAPIPIRO NDANI

Tunatoa shukurani kwa wote walioshiriki kupendekeza majina ya blogs za kushiriki katika shindano letu. Hapa chini ni majina yaliyopendekezwa katika kipengele hiki. Tafadhali zingatia kuwa haya majina yamependekezwa na watu mbalimbali. Hivyo tutapitia kila blog iliyopendekezwa na kuona kuwa imekidhi masharti ya shindano letu na inastahili kweli kuwekwa katika hichi kipengele. baada ya hapo tutawasiliana na wenye blog hiyo kama watakubali kushirikishwa katika shindano letu basi majina...

BLOG YAKO YA mamapipiro imepenya katika vipengele vinne katika shindano hilo.
Nawashukuru wadau kwa kunipendekeza katika shindano, hivyo kama kawa muendelee kunipa sapoti kwa kunipigia kura.
Mamapipiro blog inawania:
1.BEST ENTERTAINMENT BLOG
2.BEST SPORTS BLOG
3.BEST NEWS BLOG
4.BEST PERSONAL BLOG

KWA HABARI ZAIDI TEMBEA.www.tanzanianblogawards.com

Comments