YANGA YAITA VIJANA WENYE VIPAJI



KLABU ya soka ya Yanga imewaita wachezaji vijana wenye umri chini ya miaka 17 ambao wana vipaji vya soka kufika makao makuu ya klabu hiyo siku ya jumamosi kwa ajili ya kuifanyiwa usaili.


Habari kutoka uongozi wa Yanga zinasema lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha wanasaka vipaji vya vijana ambao wataichezea timu yao ya vijana wenye umri chini ya miaka 20

Comments