WYDAD WAMFANYIA MBAYA JUMA KASEJA



MECHI baina ya Simba na Wydad Casablanca ya Morocco imepelekea kuumia kwa kipa namba moja wa Simba, Juma kaseja hali itakayomfanya awe nje ya dimba jkwa siku kadhaa.

Katika mechi hiyo iliyopigwa jumamosi mjini Cairo, Misri na Simba kulala kwa mabao 3-0, Kaseja aliumizwa taya lake hivyo kufanya atashindwa pia kuitumikia timu ya Taifa 'Taifa Stars' inayotarajiwa kukipiga na Afrika ya Kati juni 5.

Comments